LWAKATARE APANDISHWA KIZIMBANI, ASOMEWA MASHITAKA YA UGAIDI
MKUU wa Kitengo cha Ulinzi na Usalama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Wilfred Muganyizi Lwakatare, leo amepandishwa kizimbani katika mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu
Jijini Dar es Salaam na kusomewa mashitaka manne ya ugaidi. Lwakatare
amepandishwa kizimbanai sambamba na kijana mmoja aliyefahamika kwa jina
la Ludovick Joseph. Katika kesi hiyo Lwakatare anatetewa na mawakili
watano, Tundu Lissu, Profesa Safari, Nyaronyo Kicheere, Mabere Marando
na Peter Kibatara.
No comments:
Post a Comment