Uongozi wa kwaya ya Ambassadors of christ yakanisa la waadvantista wasabato la Remera Kigari Rwanda,Unapenda kujulisha umma wa Watanzania kwamba kwaya yetu haitojumuika katika MATAMASHA LA PASAKA ya mwaka 2013 wakati wa Sikukuu ya pasaka kama ambavyo imekuwa ikitangazwa kwewnye vyombo mbalimbali vya habari.
No comments:
Post a Comment