Msanii na msemaji wa kundi la wana hip hop (Weusi) kutoka Arusha, Nikki
wa II, ameonekana kuto kuridhika na maelezo ya wengine juu ya maana
halisi ya neno bongo fleva..
Bongo fleva imekua ikifafanuliwa kama ni ladha inayotoka bongo, hivyo
haitofautishi kati ya hip hop na R&B wala aina nyingine ya mziki
unaofanywa Tanzania, lakini baadhi ya rappers na wana hip hop kwa ujumla
nchini wamekuwa wakilipinga sana hilo hata kuthubutu kuwaita wale
wanaoimba ni wabana pua ambao ndio wanaitwa bongo fleva kwa sasa.
siku ya tarehe 16 march, Nikki wa II aliandika maoni yake juu ya hilo
kwa kuuliza maswali pia na kutoa hoja yake kupitia katika ukurasa wake
wa facebook
kwa wale ambao
mtakua hamna ufahamu sana juu ya swala hili tata la bongo fleva na hip
hop tafadhili ingia hapa
http://www.bongocelebrity.com/2008/07/22/neno-au-jina-bongo-flavachanzo-chake-nini-au-nani/
usome kilichokuwa kimeandikwa na mmoja Miongoni
mwa mashuhuda wa mwanzo wa harakati za mwanzo kabisa za muziki wa bongo
flava ni aliyewahi kuwa DJ maarufu nchini Tanzania kwa jina Mike Pesambili Mhagama.ni hayo
No comments:
Post a Comment